| 266. Vision
given to Raymond Aguilera on 18 January 1993.
I have an image of someone riding a carousel Horse on a merry-go-round.
They are going up and down. I can't see if it's a man, woman or child. |
266. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 18 Januari 1993.
Naona maono ya sura ya mtu fulani; aliyepanda kinyago cha farasi wa
kwenye mchezo ule wa bembea ya aina ya "carouse" katika mchezo wa kuzunguka
ambao unaendeshwa na mashine. Mafarasi kwenye mchezo huo walikuwa wanaenda
juu chini juu chini. Mimi nashindwa kuona huyo aliyepanda farasi huyo kama
ni mtu mzima mwanaume, mwanamke au kama ni mtoto. |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.B.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza vitabu vya unabii Bonyeza
kwenye picha ya kitabu hapa chini

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )