270. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 23 Januari 1993, saa 7:29 mchana.

Maono ya mtu aliyekuwa na ulimi uliokuwa umejitokeza nje. Kisha ulimi huo ulibadilika kuwa wa nyoka. Ulimi ambao umepasuka katikati na ukawa mwembamba kuliko ule wa kibinadamu.

Maono ya mbwa, mbwa mwitu, wa aina ile ambayo huwa anayeonekana nyikani.

Kisha nikaona maono ya uso wa Mwanakondoo dume.

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.B.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza vitabu vya unabii Bonyeza kwenye picha ya kitabu hapa chini

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.