| 271. Vision
given to Raymond Aguilera on 23 January 1993 at 1:37 PM.
I see something that is scientifically impossible. I see a rainbow in
the middle of the night. I can see the city night lights in the streets
and building lights on. I see a full rainbow across the night sky and
it looks like the San Francisco Bay Area, but I am not sure. |
271. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 23 Januari 1993, saa 7:37 mchana.
Naona kitu fulani ambacho kwa Kisayansi hakiwezekani. Naona upinde wa mvua katikati ya usiku. Naweza kuona taa za mjini za usiku katika mitaa na taa za majumbani zikiwa zinawaka. Naona upinde mzima wa mvua ukiwa umetanda kwenye anga la usiku. Na ilikuwa inaonekana kama ni eneo la la ghuba ya San Francisco, lakini mimi sina uhakika. |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.B.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza vitabu vya unabii Bonyeza
kwenye picha ya kitabu hapa chini

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )