274. Vision given to Raymond Aguilera on 23 January 1993 at 1:49 PM.

A vision of many coal miners wearing metal hats with a light on top of their head walking into a mine.

I see a coal miner carrying another miner on his back (piggy back) inside a mine. They are dirty and they are walking alone.

 

274. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 23 Januari 1993, saa 7:49 mchana.

Maono ya wachimba mkaa wengi; wakiwa wamevaa makofia ya vyuma vilivyokuwa na taa juu ya kofia hizo wakitembea ndani ya mgodi.

Namwona mchimba mkaa akiwa amebeba mwenziwe mgongoni kama mtoto mdogo ndani ya mgodi. Wao wamechafuka na wanatembea wenyewe.

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.