|
275. Vision
given to Raymond Aguilera on 23 January 1993 at 1:49 PM. A vision of a metal safety construction hat. Someone takes a hammer and chisel. They place the chisel on top of the hat, and hit the chisel with the hammer. The point of the chisel melts like butter, and it doesn't effect the metal safety hat. It's like the chisel point is made of extremely soft Jell-O.
|
275. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 23 Januari 1993, saa 7:49 mchana. Maono ya kofia ya usalama ya chuma kwa ajili ya ujenzi. Mtu Fulani anachukua nyundo na patasi. Wanaweka patasi juu ya kofia, na kutwanga patasi kwa nyundo. Ncha ya patasi inayeyuka kama siagi, na wala haikuweza kuidhuru kofia hiyo ya usalama iliyotengenezwa kwa chuma. Ni kana kwamba ncha ya patasi imetengenezwa kwa jeli-O aina ya maji maji yaliyo ganda kiasi kama siagi.
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )