289. Dream given to Raymond Aguilera on 10 February 1993.

I had a dream about stealing. In my dream there were soldiers, union pickets, construction workers, and common people that were stealing as a common practice on their jobs. In one case there was a Christian who was good on Sunday and stole things from the job during the week. In another case there was a military man who won a prize after being caught in the act of stealing. 

289. Ndoto aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 10 Februari 1993.

Nilikuwa na ndoto ya kuhusu uwizi. Katika ndoto yangu hiyo; kulikuwa na Wanajeshi, umoja wa vyama vya wafanyakazi, wafanyikazi wa ujenzi, na watu wa kawaida ambao walikuwa wanaiba kama mambo ya kawaida katika maeneo ya kazi zao. Mahala mmojawapo kulikuwa na Mkristo ambaye alikuwa mkristo mzuri siku ya Jumapili, na alikuwa akiiba vitu kazini siku za kazi. Katika tukio lingine kulikuwa na mwanajeshi fulani aliyepewa zawadi kwa kukamatwa akiwa katika tendo la uwizi.

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.