|
292. Vision
given to Raymond Aguilera on 16 February 1993 at 9:10 AM. I see a wine glass with some wine in it, but the wine in the glass has turbulent waves. The kind you would see in the ocean during a storm, lots of waves, but the wine glass is standing still.
|
292. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 16 Februari 1993, saa 3:10 asubuhi. Naona gilasi ya kunywea mvinyo ikiwa na mvinyo kiasi ndani yake, lakini mvinyo ulioko ndani ya gilasi hiyo; ulikuwa na mawimbi na ulikuwa unafoka. Aina ya mawimbi hayo yalikuwa yanafanana na yale unayoweza kuyaona pale baharini, wakati ule bahari inapokuwa imechafuka au inapokuwa na kimbunga, ilikuwa na mawimbi mengi, lakini gilasi yenyewe ilikuwa imetulia wima.
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )