293. Vision given to Raymond Aguilera on 18 February 1993 at 8:49 AM.

I see the head of an Elephant, and it looks like someone took a bite out of the whole right side of the head, from the ear almost to the other eye, down to the trunk, was bitten off.


293. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 18 Februari 1993, saa 2:49 asubuhi.

Naona kichwa cha Tembo, na kilikuwa kinaonekana kama kuna kitu kimeung’ata upande wote wa kulia kutoka sikioni hadi karibu kabisa na jicho lake lile lingine, kwenda chini hadi kwenye mkonga na kunyofolewa.


 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.