300. Vision and Prophecy given to Raymond Aguilera on 28 February 1993 at 3:32 PM.

Vision of a cotton field. There was an adult walking through a cotton field. He had a child around the back of his neck with the child's legs around his shoulders.

Prophecy:

The Lord said: "Look at the cotton. Look at the cotton." I could see the White cotton, for miles and miles. He said, "It's ready, it's ready, the field is ready to be picked. Pick the cotton, pick the White Cotton."

 

300. Maono na Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 28 Februari 1993, saa 9:32 mchana.

Maono ya shamba la pamba. Kulikuwa na mtu mzima aliyekuwa akitembea katikati ya shamba hilo la pamba. Alikuwa amempakata mtoto mabegani mwake, naye mototo huyo akiuwa ameweka miguu yake kuzunguka mabeka ya mtu huyo na akiwa amekaa kuzunguka shingo la mtu huyo.

Unabii:

Bwana akasema: "Angalia pamba hiyo. Angalia pamba hiyo." Nilikuwa naona pamba Nyeupe, kwa umbali wa mamaili na mamaili. Kisha akasema, "Iko tayari, iko tayari, shamba liko tayari kuvunwa. Chumeni pamba, Chumeni pamba ile iliyokuwa nyeupe."

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.