401. Vision given to Raymond Aguilera on 5 February 1994 at 12 noon.

Vision:

Vision of a snow covered valley with a dense fog rolling in between the hills or canyon. Now, I am seeing the fog from a different angle and it's moving in between these two mountain ranges.

Vision:

I see an enormous sword, it is as large as the mountains and it is imbedded in the fog and snow covered valley in between two mountain ranges. All I can see is the handle of sword sticking out of this white mass.

 

Vision:
I see a mountain peak with the top covered with bright white snow and with brown and black colors at the base.


 

 

 

401. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 5 Februari 1994, saa 12 mchana.

Maono:

Maono ya bonde lililofunikwa na theluji ikiwa na ukungu mnene uliokuwa ukifuka katika bonde katikati ya milima au korongo hilo kuu (canyon). Sasa naona ukungu kutoka kwenye uelekeo mwimgine na inatembea katikati ya misafa ya milima hiyo mwili.

Maono:

Naona upanga mkubwa sana, ni mkubwa kama milima na ulikuwa umeshindiliwa katika ukungu na bonde lile lililo funikwa na theluji likiwa katikati mwa misafa ya milima miwili. Ninayo weza kuona ni mpini wa upanga huo ukiwa umejitokeza juu ya uweupe huo wa theluji na ukungu huo.

 

Maono:
Naona kilele cha mlima uliofunikwa na theluji nyeupe iliyokuwa ina ng’aa na sehemu za chini ikiwa na rangi ya udongo na nyeusi.
 

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.