402. Vision and Occurrence given to Raymond Aguilera on 6 February 1994 at 8:30 AM.

Vision:
I had a vision of the same mountain in two images, one has the top covered with white snow and the next image it is all covered with white snow.

 

Vision:
An image of a white bell.

 

Vision:
A square lamp which could be hand held from the top or it could be held with a hook and on each corner it has a bracket where the glass slides in.

Occurrence:
The enemy just showed me an image of an ass from the rear end and called me an ass. (over)

 

402. Maono na Matukio aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 6 Februari 1994, saa 2:30 asubuhi.

Maono:
Niliona maono ya mlima ule ule katika sura mbili, katika sura ya kwanza mlima huo juu yake ulikuwa umefunikwa na theluji nyeupe na katika sura ya pili mlima wote ulikuwa umefunikwa na dheluji nyeupe.

 

Maono:
Maono ya kengele nyeupe.

 

Maono:
Taa iliyokuwa ya muundo wa mraba ambayo inaweza kushikiliwa mkononi kutoka juu au inaweza kushikwa kwa kishikizi cha mfano wa ndoana na kwenye kila korna kulikuwa na sehemu ya kuingizia kioo.

Tukio:
Adui akanionyeshea sura ya punda kutoka nyuma akijisaidia na kisha akaniita kuwa mimi ni ile sehemu ya kutolea kinyesi. (mwisho)

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.