405. Vision given to Raymond Aguilera on 7 February 1994 at 7:28 PM.

I see a vision of a woman. I believe she is blonde and wearing a blue outfit. All of a sudden her face starts to radiate like a neon sign, and her face gets brighter and brighter. (over)

 

405. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 7 Februari 1994, saa 1:28 usiku.

Naona maono ya mwanamke. Naamini ana nywele za shaba (blond) akiwa amevaa nguo za suti ya rangi ya blue. Kwa ghafla sura yake ikaanza kung’aa na kama taa za matangazo ambako inang’aa na kuzimika na uso wake ukazidi kuwa na mg’aro mkubwa zaidi na zaidi. (mwisho)

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.