|
406.
Occurrence given to Raymond Aguilera on 9 February 1994 at 11 PM. We camped at the Painted Desert after we left the Grand Canyon. This Painted Desert area seemed to be a place of dreams; for the nights there I had all kinds of vivid dreams. The first night the dreams were basically about women (nothing sexual), just about women doing women everyday things, and about my friends doing all kinds of happy things. The second night the dreams were of sad things and of all kinds of occurrences of the things that might happen, and many, many other dreams. The first night I had ten to fifteen different dreams, and the second night maybe four or five dreams, one right after the other. It seemed as if the dreams went on all night. over
|
406.
Matukio aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 9 Februari 1994, saa 5 usiku. Sisi tulipiga kambi yetu kwenye eneo la “Painted Desert” baada ya kutoka pale kwenye eneo la “The Grand Canyon”. Hiyo eneo la “Painted Desert” ilikuwa inaonekana kama eneo la ndoto; kwa maana usiku ule nilikuwa na ndoto za kila aina zilizokuwa wazi sana katika kumbukumbu zangu. Usiku ule wa kwanza ndoto kwa ujumla zilikuwa zinahusu mambo ya akina mama (haikuwa ina husu mambo ya mapenzi) bali ili husu wakina mama wakifanya mambo yao ya kila siku, na kuhusu marafiki zangu wakifanya kila aina ya mambo mbali mbali ya furaha. Ndoto za usiku wa pili zilikuwa ni za mambo ya huzuni na ya matukio ya aina mbali mbali yatarajiwayo, na ndoto nyingine nyingi nyingi sana. Usiku ule wa kwanza kulikuwa na ndoto kama kumi hadi kumi na tano za aina mbali mbali, na usiku wa pili kulikuwa na ndoto kama nne au tano hivi, mmoja baada ya nyingine. Ilikuwa ni kama inaonekana kuwa ndoto hizo zilikuwa zikifuliliza mmoja baada ya nyingine usiku kucha. Mwisho.
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )