407. Vision given to Raymond Aguilera on 11 February 1994 at 10 AM.

I see a vision of a bell on top of a mountain but the top of the mountain is inside of the bell and covers about one-third of the mountain. over


407. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 11 Februari 1994, saa 4 asubuhi.

Naona maono ya kengele juu ya mlima, lakini kilele cha mlima huo ulikuwa umeingia ndani ya kengele hiyo na ulikuwa umefunika kiasi cha theluthi mmoja ya mlima huo. Mwisho.


 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.