408. Occurrence given to Raymond Aguilera on 16 February 1994 at 4:30 PM.

We got home from our winter camping trip two days earlier than expected. Now I am in constant warfare. I feel like I am going to explode from within, my heart is just pounding at an extremely fast pace. I can't seem to relax, and all kinds of things around the house, and around me, seem to be breaking down. I am beginning to believe it is retaliation for the Brigham Young University mission trip, but I have to relax and go to church tonight, it sure is difficult.

Vision:
I see a white pillar, but only the top third for there is a large black tree in front of it.


 

 

408. Matukio aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 16 Februari 1994, saa 10:30 jioni.

Tulifika nyumbani kutoka kwenye safari yetu ya kupiga kambi, wakati wa majira ya baridi siku mbili mapema kuliko tulivyo tarajia. Hivi sasa nina mapambano ya mfululizo. Najisikia kana kwamba ninataka kulipuka kutoka ndani, moyo wangu unapigapiga kwa kasi kubwa sana. Mimi naona kuma nashindwa kupumzika, na kila kitu ndani na kuzunguka kwenye nyumba yangu hapa pamoja na kunizunguka mimi ni kama inataka kusambaratika. Mimi naanza kuamini kuwa huu ni ulipizaji wa kisasi kwa ajili ya safari ile pamoja na kazi ile tuliyofanya pale kwenye Chuo Kikuu cha “Brigham Young University” lakini inanibidi nipumzike na niende kanisani usiku huu wa leo, kwa kweli ni ngumu.

Maono:
Naona mnara mweupe, lakini kiasi cha theluthi mmoja ya juu tu, kwa maana kuna mti mkubwa mweusi mbele yake.


 

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.