409. Vision given to Raymond Aguilera on 17 February at 7:30 PM.

Vision:
I see something that looks like a Mexican tamale cut in the middle, but it is not a tamale, the inside is black and the outside is white.

Vision:
The next image is of a whirlwind and it is going in a counter clockwise direction. It looks like a computer image of a storm. Like a satellite computer weather map.

 

Vision:
An image of a black mountain with a stone necklace made of crystals or clear stones. The necklace is around the top third of the totally black mountain.

 

409. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 17 Februari saa 1:30 jioni.

Maono:
Naona kitu fulani kilicho kuwa kinaonekana kama ile kofia kubwa ya ki-Mexiko iitwayo “tamale” iliyokatwa katikati lakini hasa hasa siyo “tamale”, ndani ni nyeusi na nje ni nyeupe.

Maono:
Maono yaliyofuata yalikuwa ya kimbunga na ilikuwa inaenda huku ikizunguka kutoka kulia kwenda kushoto ambayo ni kinyume na mwenendo wa mikono ya saa. Inaonekana kama mfano wa sura ya kimbuga inavyoonekana katika kompyuta. Kama ilivyo kwenye ramani ya kwenye mtandao wa kompyuta ya kutabiri hali ya hewa.

 

Maono:
Maono ya mlima mweusi uliokuwa na ushanga wa mawe ya dhamani au mawe yaliyokuwa maangavu. Shanga hizo zilikuwa kwenye sehemu ya theluthi ya juu ya mlima huo uliokuwa mweusi kabisa.

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.