411. Visions given to Raymond Aguilera on 2 March 1994 at 10 AM.

A vision of a white dove wearing a crown.

Vision:
The next image was of someone writing a letter with their left hand. Then of someone carrying a spear in their right hand and the spear was white. (over)

411. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 2 Marchi 1994, saa 4 asubuhi.

Maono ya njiwa mweupe aliyevaa taji.

Maono:
Maono yaliyofuata yalikuwa ni ya mtu fulani aliyekuwa akiandika herufu kwa mkono wake wa kushoto. Kisha nikaona mtu fulani aliyekuwa amechukua mkuki kwa mkono wake wa kulia na mkuki ulikuwa ni mweupe. (mwisho).

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.