|
413. Vision
given to Raymond Aguilera on 3 March 1994 at 7:30 PM. During prayer in church I had a vision of a large wheel rolling on the top surface of the water. It was rolling on its own reflection and later I saw some piers in the water, and for some reason these reflections caught my eyes. I don't know why the reflection was so important, but I was stressed to look at the reflection. (over)
|
413. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 3 Marchi 1994 saa 1:30 jioni. Wakati wa sala Kanisani niliona maono ya gurudumu kubwa likiwa linazunguka au kutembea juu ya uso wa maji. Lilikuwa linazunguka kwa kufuata tendohiari yake (reflection) na baadaye nikaona gati ndani ya maji na kwa sababu nisizoelewa hiyo tendohiari (reflection) ikavutia macho yangu. Mimi sielewi kwanini hiyo tendohiari ilikuwa inaonekana kuwa ya maana, lakini mimi nikama nilisistiziwa kuangalia hiyo tendo hiari. (Mwisho).
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )