|
414. Vision
given to Raymond Aguilera on 8 March 1994 at 4 PM. I had a vision during prayer of an animal that looked like an armadillo with its plated body. It looked as if it was eating something or chewing on a human body, but the armadillo was as large as the human body. The body seemed to be laying face down and dead. (over) |
414. Maono
yaliyopewa Raymond Aguilera tarehe 8 Marchi 1994, saa 10 jioni. Niliona maono wakati wa sala; ya mnyama aliyeuwa anaonekana kama kakakuona akiwa na mwili wake uliojaa magamba. Alikuwa anaonekana kama anatafuna kitu fulani au akitafuna mwili wa binadamu, lakini kakakuona huyo alikuwa mkubwa kama mwili wa binadamu. Mwili huo ulikuwa unaonekana ulikuwa umelala kifudifu ukiwa umekufa. (Mwisho). |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )