418. Vision given to Raymond Aguilera 21 March 1994 at 9:50 PM.

I had a vision of a goat, then of a Large Hand and Arm holding a knife appeared from heaven ready to kill the goat. In the vision the goat looked small and the Arm and knife filled the whole sky. (over)


 

418. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 21 Marchi 1994, saa 3:50 usiku.

Niliona maono ya mbuzi, kisha mkono mkubwa sana uliokuwa umechukua kisu ukajitokeza kutoka Mbinguni tayari kumwua mbuzi yule. Katika maono hayo mbuzi huyo alikuwa anaonekana kuwa ni mdogo sana na mkono ule na kisu chake ulifunika anga lote. (Mwisho).


 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.