422. Vision given to Raymond Aguilera on 26 March 1994 at 7:45 PM.

During worship Saturday night I had a vision of two men carrying two black poles on their shoulders. On these poles there were two slices of toasted bread which were slightly burned.

The Lord said, "It's still good, eat it. They are still good eat the bread."

 
 

422. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 26 Marchi 1994 saa 1:45 jioni.

Wakati wa kuabudu siku ya Jumamosi usiku niliona maono ya watu wawili waliokuwa wamebeba boriti mbili nyeusi kwenye mabega yao. Kwenye boriti hizo zilikuwa zimepachikwa silesi mbili zilizokaangwa za mkate ambazo zimeungua kidogo.

Bwana akasema, "Bado ni nzuri, kuleni tu. Bado ni nzuri kuleni mkate. "

 
 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.