|
424. Vision
given to Raymond Aguilera on 30 March 1994 at 7:45 AM.
Vision I had the same vision I received about two years ago: Where these mountains of water hit a valley filled with suburban houses and totally destroyed everything. I can still see these mountains of water as if it was yesterday. This vivid vision did not have a location, but today the Lord revealed that it was the San Francisco Bay Area. The massive water hit Concord, California, in the county of Contra Costa, all the way to the town of Byron, some sixty miles inland. All that could be seen afterwards were the mountain peaks of Mt. Diablo and Mt. Tamalpais. They looked like two islands in the middle of the ocean.
Vision:
|
424. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 30 Machi 1994 saa 1:45 asubuhi.
Maono Nilikuwa na maono yale yale niliyoyapata kitu kama miaka miwili iliyopita: mahala pale ambako milima ile ya maji yalipoigonga lile bonde kwenye eneo la pembezoni mwa Mji fulani ambako kulikuwa na nyumba za makazi ya watu na kuziharibu kabisa pamoja na vitu vyote vilivypkuwapo pale. Mimi bado naweza kuona milima ile ya maji kana kwamba ilikuwa na jana tu. Maono haya ambayo yaliyokuwa ni ya wazi mkubwa sikuweza kufunuliwa kama ni eneo la mahala gani, lakini leo nilifunuliwa na Bwana kuwa eneo hilo litakuwa ni sehemu ya ghuba la San Fransisko. Maji haya mengi sana yataikumba eneo la Konkordi la Kalifonia, katika kata ya Kontra Kosta, hadi eneo la kwenye mji mdogo wa Byron, ambao uko umbali wa maili sitini kutoka pwani ya Jiji la Kalifonia. Ile yote inayoweza kuonekana baada ya mafuriko haya ilikuwa ni vilele tu vya mlima Diablo, na Mlima Tamalpais. Vilel hivyo vilikuwa vinaonekana kana kwamba ni visiwa vidogo tu vilivyo jichomoza ndani ya ile Bahari.
Maono:
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )