|
426.
Visions given to Raymond Aguilera on 5 April 1994. I saw a silver looking cord or pipe, about 5 inches in diameter, that extended from a place near the peak of Mt. Tamalpais to a place near the peak of Mt. Diablo. This cord formed a perfectly straight and level line, between the two mountain peaks, with the bay and the land in between the two mountains.
Vision:
After anointing the rock, we walked until we found ourselves at the very top of the mountain and found a fire lookout tower. From this location we could see the large boulder we had anointed, with a glass bottle of olive oil sticking upside down on top of it. For it was about one hundred and fifty feet from the lookout tower facing San Francisco. So we decided to pray some more and walked back down the path and found another rock near the fire lookout tower facing the east bay, and prayed for about a half hour. Then Lord said, " It is done. It is complete. It is finished. I want you to leave now, but leave carefully. Be careful! Be careful!" I remember, the Lord kept saying, "Be careful." So I told my Christian brother the Word of the Lord and we left, very slowly and cautiously off the top of the mountain. Spencer's Battery Trip On the way home my Christian brother said he wanted to stop at the northern end of the Golden Gate Bridge at a place called Spencer's Battery. The U.S government had placed some cannons there, during troubled times, to protect the Golden Gate. So we prayed in tongues as we walked and reached the end of a cable hand rail that stopped people from going over the edge into the water. We could see ships leaving the bay, onto the Pacific Ocean, and it reminded me of the vision I saw months ago of a ship sailing into the Golden Gate and exploding a nuclear device. Now, I am seeing this same place except from a different angle. As I watched, I sensed the Lord showing me a before-and-after picture of the San Francisco Bay. During this I sensed the Presence of the Lord, and even now as I am tape-recording this occurrence, His Presence seems to be here. It is scary and frightening recalling that vision and seeing the device go off in the San Francisco Bay. Today the Bay looks so clear, calm, and so beautiful, with many people going over the Golden Gate Bridge. And as I see it in the spirit, they are not aware of what's ahead of them. Oakland Trip Later that evening the same Christian brother asked me out to dinner. So, at 7 PM, we left for a Chinese restaurant, in Oakland, and fellowship as many Christians do. Then, all of a sudden, the Lord began to speak to me at the same time my friend was talking. This was a very strange sensation, as I heard my Christian brother telling me his views, on different subjects, and the Lord speaking to my spirit, at the same time, and being able to understand the both of them at the same time clearly.
|
426. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 5 Aprili 1994. Mimi niliona kitu kilicho kuwa kinaonekana kama uzi wa fedha au labda bomba ambayo ilikuwa na upenyo wa kitu kama inchi 5, ambayo ilikuwa ni kama imetandazwa kati ya sehemu karibu na kilele cha Mlima Tamalpais hadi karibu na kilele cha Mlima Diablo. Kamba hiyo ilifanya sehemu iliyo nyooka vizuri na kufanya uwima wa juu kuwa sawa kabisa kati vilele vya Milima hiyo miwili, ikiwa na ile ghuba na ardhi kati ya milima hiyo miwili.
Maono:
Baada ya kuweka wakafu jiwe lile, sisi tuliendelea kutembea kwa miguu hadi pale tulipofikia kwenye kilele cha mlima na hapo tulikuta mlingoti wa kulinda ajali za mioto. Kutoka eneo hilo tulikuwa tunaweza kuona mwamba ule mkubwa ambao tumeuwekea mafuta na chupa ile ya mafuta ikiwa imejitokeza kichwa chini juu ya mwamba huo. Kwa maana ilikuwa iko umbali wa futi mia mmoja na hamsini tu kutoka kwenye mnara huo wa ulinzi wa ajali za mioto ambayo inaangalia eneo la mashariki ya ghuba hiyo, na baada ya hapo tukaomba kwa muda wa nusu saa hivi. Kwahiyo sisi tuliamua kuomba zaidi na kutembea kwa kufuata njia ile tuliyojia na njia ile nyingine iliyotuwezesha kupata jiwe lile lingine karibu na pale kwenye kituo cha kulindia ajali za moto ambayo inaangaliana na ghuba ya mashariki, na kuomba kwa muda wa saa mmoja hivi. Bwana akasema, "Imetekelezwa. Imekamilika. Imetimia. Mimi nataka wewe uondoke sasa, lakini ondoka kwa uangalifu. Uwe mwangalifu! Uwe mwangalifu!" Mimi nakumbuka, Bwana alikuwa anaendelea kusema, "Uwe mwangalifu." Kwahiyo nikamwambia ndugu yangu katika Kristo Neno la Bwana na kisha tukaondoka, kwa pole pole na kwa uangalifu kutoka pale juu ya mlima. Safari ya Bateri ya Spensa Wakati wa kwenda nyumbani ndugu yangu yule katika Kristo akasema kuwa yeye anataka kusimama pale kwenye ukingo wa kaskazini mwa daraja la “The Golden Gate Bridge” kwenye eneo liitwalo Bateri za Spencer. Serikali ya Marekani imeweka mizinga michache pale kwa ajili ya wakati wa dharura ili kulinda daraja hilo la “The Golden Gate”. Kwa hiyo sisi tukawa tunaomba katika lugha wakati tukiwa tunaenda kwenye mwisho wa sehemu za miguu yenye sehemu za kuwekea mikono ili mtu asitumbukie majini. Sisi tulikuwa tunaona jinsi meli zilivyokuwa zinaondoka kutoka kwenye ghuba hiyo kuelekea kwenye Bahari ya Pasifiki, na hiyo inanikumbusha maono niliyoyaona kwenye miezi iliyo pita ya meli mmoja iliyo kuwa inaingia kwenye Ghuba hiyo ikilipua bomu la kinuklia. Sasa, naona mahala hapo tena ila kutoka upande mwingine. Wakati ninapo paangalia hivi sasa ninapatwa na hisia ya kuwa Bwana ananionyeshea picha ya hali ilivyo kabla na baada ya tukio hilo la mlipuko ambao utatokea katika eneo hilo la Ghuba ya San Fransisko. Wakati huo napatwa na hisia ya Uwepo wa Bwana, na hata sasa hivi ninapoeleza tukio hili kwenye kanda inaelekea bado kunauwepo wa Bwana hapa. Ilikuwa inatisha kuona na kukumbuka maono yale na kuona mitambo ile ikilipuka pale kwenye Ghuba ya San Fransisko. Leo hii Ghuba ile inaonekana kuwa safi, tulivu, na iliyo na uzuri mkubwa ikiwa na watu wengi wanaopita juu ya lile daraja la “The Golden Gate Bridge”. Na kwa jinsi mimi ninavyoona katika ulimwengu wa Kiroho naona wao hawana habari kabisa. Safari ya Oakland Baadaye jioni ile, ndugu yule yule katika Kristo alinikaribisha kwenye chakula cha jioni. Kwa hiyo ilipofika saa 1 jioni, sisi tulielekea kwenye hoteli ya Kichina katika jiji la Oakland, tukawa na kikao cha kumshukuru Mungu kama wenzetu wengi katika Bwana wanavyofanya. Kisha kwa ghafla Bwana akaanza kuzungumza na mimi na hapo hapo yule rafiki yangu naye akawa anazungumza nami. Hii ilikuwa ni tukio la aina yake na nilikuwa na patwa na hisia ya kipekee; ile kumsikia rafiki yangu akinieleza mawazo yake kwenye jambo lingine kabisa na Bwana huku akinisemesha kwenye roho yangu wakati huo huo na mimi kuweza kuwasikia na kuwaelewa wote wawili kwa usahihi.
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )