429. Vision given to Raymond Aguilera on 7 April 1994 at 7:30 PM.

During the Thursday night church service, I had a vision of a wall of fire with three horses walking slowly through it, without any fear, without any pain, as if the wall of fire wasn't even there. The third horse seemed to be bright gold in color.
 

 

429. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 7 Aprili 1994, saa 1:30 jioni.

Wakati wa misa ya siku ya Alhamisi, niliona kitu kama ukuta wa moto ukiwa na mafarasi watatu wakitembea pole pole kupita ndani ya moto huo bila ya wasiwasi wowote, bila ya maumivu yoyote, kana kwamba ule ukuta wa moto haukuwapo mahala pale. Farasi yule wa tatu alikuwa anaonekana kuwa na rangi ya dhahabu iliyokuwa inang’aa sana.
 

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.