|
430.
Occurrence given to Raymond Aguilera on 11 April 1994 at 1:30 AM. For the past six weeks the Lord has been telling me to go north. At first I thought it was Oregon. Then I thought it was Washington, State. I knew the Lord wanted me to go north, but somehow I felt Washington wasn't north enough. So I surmised it had to be the Vancouver, Canada area. So I proceeded to repair my Van for the long trip. Then, Monday morning, the Lord instructed me to collect water for myself, for the California earthquake was going to hit soon.
|
430. Tukio
alilopewa Raymond Aguilera tarehe 11 Aprili 1994, saa 7:30 za usiku. Kwa muda wa wiki sita hivi Bwana amekuwa akiniambia kuwa niende upande wa kaskazini. Mwanzoni mimi nilidhania maeneo ya Oregon. Baadaye nikadhania ni maeneo la Jimbo la Washington. Mimi najua Bwana alitaka mimi niende kwenye maeneo ya kaskazini, lakini kwa namna fulani mimi nilihisi kuwa eneo la Washington halikuwa kaskazini ya kutosha. Kwahiyo mimi nikaamua kuwa nadhani Vancouver ya huko eneo la nchi ya Kanada labda ndiyo kaskazini Bwana aliyokuwa ana maanisha. Kwa hiyo mimi nikaendelea kuitayarisha gari langu kwa ajili ya safari hiyo ndefu. Kisha siku ya Jumatatu asubuhi Bwana aliniagiza nikusanye maji kwa ajili yangu, kwa kuwa tetemeko la Kalifonia lilikuwa linaenda kuikumba Kalifonia siku za hivi karibuni.
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )