|
431.
Prophecy given to Raymond Aguilera on 11 April 1994 at
8:30 AM. The Lord said, "Fill the two liter soft drink bottles you have with fresh clean water, for the Earthquake will hit California." So, that very morning, I washed about thirty bottles with soap and water and filled them with fresh clean water. Since His Word was so specific I decided to pray.
|
431. Unabii
aliopewa Raymond Aguilera tarehe 11 Aprili 1994, saa 2:30 asubuhi. Bwana alisema, "Jaza chupa zote za soda zilizokuwa na ujazo wa lita mbilimbili ulizo nazo kwa maji masafi, kwa maana Tetemeko la ardhi litaenda kuikumba Kalifonia. " Kwa hiyo, asubuhi hiyo hiyo niliziosha chupa kama thelathini hivi kwa sabuni na maji, na kisha nikazijaza kwa maji masafi. Kwa vile Neno lake lilikuwa na uwazi mkubwa sana mimi niliamua kuomba.
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )