|
433. Vision
given to Raymond Aguilera on 14 April 1994 at 7:30 PM. In my evening church service, during prayer, the Lord gave me a vision of a round sphere with lines around it. It reminded me of a soccer ball, but the bottom of the sphere couldn't be seen, but underneath was the pitched roof of a house of some kind. The sphere was much larger than the roof.
The prayer really got intense during the worship, for my body started to perspire and I could sense the Presence of the Lord. I asked the Lord for another confirmation to this Toronto mission. The Lord said, "What was revealed to your Christian brother was correct, the enemy is going to try to stop the spiritual war in the area of Toronto, Canada. There are going to be two demonic aerial attacks from the air." Then, He showed me two gray colored jet planes flying. He said, "They represent two aerial assaults. They are going to try to quench the war in Toronto." Then He said, "Go" Then He showed me a white jet going in the direction of these two gray colored jets. "You are going into the war," He said, "Stand in the gap, but I am going to send one other and He is going to be doing the same thing, but it won't be the Christian brother going with you." The Lord didn't reveal who the other person was, other than what He had said. Only that this other Christian brother would be there and for me to go. The Christian brother that prayed with me on Thursday said to take Communion and to anoint the area around the church in Toronto, Canada and that there would be a hill or a high place that should be anointed All I know is that I am flying out of here Saturday night and going to Canada, and I am waiting on the Lord for further instructions. I don't know if this other intercessor is already there, but there is going to be another person there that's going to do warfare also, against two aerial demonic attacks. So, during this Thursday night church service, I prayed for protection for this other Christian brother. About 1 AM, that morning, I let my dog outside. I noticed the birds singing loudly, and now it must be about two o'clock and they are still singing their heads off. I can still hear the birds singing, even as I type this occurrence, for the tape recorder recorded the birds singing. I guess they were really singing loud or I have an extremely sensitive tape recorder. I know that the warfare around me has been very intense these last few days and it's been warfare and more warfare all day. I know that the enemy is trying to keep me off balance and trying to stop me from focusing on the Lord, and on this mission trip. Its just incredible the ways the enemy uses people, situations, and problems, to stop you from doing your job.
|
433. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 14 Aprili 1994, saa 1:30 jioni. Wakati wa misa yangu ya jioni, wakati wa maombi, Bwana alinipa maono ya tufe la mviringo iliyokuwa na mistari kuiliyokuwa imeizunguka. Ilikuwa inanikumbusha mpira wa miguu, lakini tako la tufe hilo lilikuwa halionekani, lakini chini yake kulikuwa na kitu kama paa la nyumba la aina ya mgogo wa tembo.
Maombi yaliendelea kuwa ya nguvu mno wakati wa kuabudu, kwa maana mwili wangu ulianza kutokwa na majasho na nilikuwa na patwa na hisia ya Uwepo wa Bwana. Mimi nilimwomba Bwana udhibitisho mwingine kuhusu safari hiyo ya Toronto. Bwana akasema, "Kile kilicho funuliwa kwa ndugu yako katika Kristo ni cha ukweli, adui ataenda kujaribu kuzuia vita vya kiroho katika eneo la Toronto, Kanada. Kutakuwa na mashambulizi mawili ya kishetani hewani." Kisha, Yeye alinionyeshea ndege mbili za rangi ya Kijivujuvu zikuwa zinaruka. Yeye akasema, "Zinawakilisha mashambulizi hayo mawili ya angani. Watajaribu kuzima vita hivyo vya kiroho vya pale Toronto." Kisha Yeye akaniambia, "Nenda" Kisha Yeye akanionyeshea ndege nyeupe mbili zikienda kwenye eneo hilo la ndege zile mbili za rangi ya Kijivujivu za aina ya jeti. "Wewe unaenda vitani," Yeye aksema, "Simama pale kwenye tobo au pale palipo bomoka na Mimi naenda kumtuma mtu mwingine ambaye ataenda kufanya hayo hayo pia, lakini hatakuwa huyo ndugu yako katika Kristo ambaye anaenda nawe." Bwana hakuni fahamisha jina au utambulisho wa mtu huyo wa pili ya kuwa atakuwa ni nani, zaidi ya kile alicho kisema. Nayakuwa huyo ndugu katika Kristo wa pili atakuwa pale na kuwa mimi niende. Yule ndugu katika Kristo ambaye tuliomba naye siku ya Alhamisi aliniambia tushiriki kwenye karamu ya Bwna (komunio) na kisha tuweke wakfu eneo linalo zunguka kanisa la pale Toronto, Kanada na yakuwa kungelikuwa na kilima au eneo lililo inuka ambalo inabidi iwekwe wakfu, lakini mimi yote ninayojua ni kuwa mimi ninaruka kwenda Kanada na siku ya Jumamosi usiku, na nilikuwa ninamgojea Bwana; anipe maagizo ya nini nifanye, nami sijui kama huyo muombaji mwingine tayari yuko pale, ninalojua ni kuwa kutakuwa na mwombaji mwingine pale ambaye ataenda kufanya vita pamoja nami katika mapambano mawili ya kiroho ya angani ya kishetani. Kwa hiyo mimi katika maombi ya jioni nilimwombea ulinzi huyo ndugu wa pili katika Kristo. Ilipofika kitu kama saa 7 usiku mimi nilimfungua mbwa wangu iliaende nje. Nilisikia ndege wakiimba kwa sauti na sasa nadhani ni kitu kama saa nane za usiku nao hao ndege bado walikuwa wanaimba kwa nguvu sana. Mimi bado ninawasikia ndege hao bado wanaimba hata wakati huu ninapoandika taarifa hii ya tukio, kwa maana kinasa sauti changu ilikuwa imewanasa kwenye mkanda wake. Nadhani walikuwa wanaimba kwa nguvu au labda mkanda wangu huu wa kunasa sauti ulikuwa na uweza wa kudaka hata sauti ndogo sana. Mimi ninajua kuwa mapambano kunizunguka mimi yalikuwa ni makali sana; katika siku hizo chache zilizopita na kumekuwa na mapambano baada ya mapambano katika siku zote hizo zilizopita. Najua aduia anataka kunikatisha tama na kujaribu kunizuia nisiweke umakini wangu katika Bwana, na katika safari hii ya kimisioni. Imekuwa ni cha ajabu jinsi adui anavyo watumia watu, hali halisi ya pale, na matatizo, kukuzuia usifanye kazi yako.
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )