435. Prophecy and Vision given to Raymond Aguilera on 17 April 1994 at 7:30 PM. Canadian time in English.

Oh My Vineyard. Oh My Vineyard. Oh My Vineyard. I am going to prune you. I am going to prune your branch. I am going to prune them down until all the evil, all the wickedness, is gone. I am going to squeeze you until it hurts, My Beloved, My Beloved. Will you marry Me? Will you marry Me? Birth pains, "Thomas. Thomas. Thomas."

Then I had a vision of a Bell ringing.

Vision:

 

Then the Lord said to me, "Start praying and do not stop until I tell you. Stand in the gap."

Then, all of a sudden, my voice returned and my prayer language began to pray, but my body was left exhausted. All this happened while I was in the Vineyard Fellowship Church service, in the suburb of Toronto, in a town called Mississauga.

The Lord said, "Don't partake in the service, just stand there and intercede until I tell you to stop. You are part of the prayer cover, and do not interfere with anything that is going on."

So I prayed for three and half hours, until 11 PM., the end of the Sunday evening church service.

About fifteen minutes before the church service was over, the Lord said, "Your intercession is finished. You can go home."

By this time I was really exhausted and my Christian brother reminded me about the oil anointing work that needed to be done. I really didn't feel like doing it, for I was tired, but I knew I would feel guilty if I didn't do it. So we found a small store still open and purchased some oil at about 12:30 AM. and anointed the perimeter of the building at about 1:30 AM. We drove around the parking lot and stopped every twenty or thirty feet and poured some oil on the pavement and prayed for the Lord to place ministering and warring angels there for protection, at every location, where the oil was placed, until we had made a complete circle around the church building and office complex.

Our Christian brother's word, back home, was that we had to anoint a high area and the only high place near us was our hotel room which was on the top floor. So we anointed each other, our room, all the windows, doors, and prayed and retired for several hours of sleep, for we had to leave at 4 AM. that morning.

 

435. Unabii na Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 17 Aprili 1994, saa 1:30 jioni saa za Kanada katika lugha ya Kiingereza.

Ooh shamba Langu la Mzabibu. Ooh shamba Langu la Mzabibu. Ooh shamba Langu la Mzabibu. Mimi naenda kuikatia kuondoa matawi mabovu. Mimi ninaenda kukatia matawi yako. Mimi naenda kuikatia hadi ubaya wote utoke, ubaya wote utoke. Mimi ninaenda kuwaminyeni hadi mpate maumivu, Wapendwa Wangu, Wapendwa Wangu, Wapendwa Wangu. Je, mtakubali niwaoe? Je, mtakubali niwaoe? Utungu wa kuzaliwa, “Tomaso. Tomaso. Tomaso.”

Kisha nikaona maono ya Kengele ikilia.

Maono:

 

Kisha Bwana akaniambia mimi, "Anza kuomba na usiache kuomba mpaka nitakapo kuambia. Simama kwenye nafasi hiyo iliyotupu."

Kisha, kwa ghafla, sauti yangu ikarudi na lugha yangu ya ndimi ikaanza kuomba, lakini mwili wangu ukawa umeachwa na uchovu mkubwa. Hayo yote yalinitokea nilipokuwa pale kwenye misa ya Kanisa la “Vineyard Fellowship Church” katika maeneo ya pembezoni mwa Jiji la Toronto katika mji uliokuwa unaitwa Mississauga.

Bwana akasema, "Usijiunge katika misa hiyo, bali wewe simama tu pale na uwaombee hadi hapo nitakapo kuambia uache. Wewe ni sehemu ya kuwa funika kwa sala, na wewe wala usijingize kwenye lolote kinachoendelea mahala pale.”

Kwa hiyo mimi niliendelea kuomba kwa muda wa masaa matatu na nusu, hadi saa 5 za usiku wakati wa kufungwa kwa misa ya usiku ya siku ya Jumapili.

Kitu kama dakika kumi na tano hivi kabla ya mwisho wa misa ile, Bwana akasema, "Muda wa wewe wa kuwaombea umekwisha unaweza kwenda nyumbani sasa."

Mpaka wakati huo mimi nilikuwa nimechoka kweli na yule ndugu yangu katika Kristo akanikumbusha kuhusu kazi ile iliyobaki ya kuweka mafuta ambayo inabidi tuifanye. Mimi kwa kweli nilikuwa sipendi kuifanya kwa sababu nilikuwa nimechoka, lakini nilijua nisipoifanya nitajisikia mwenye hatia. Kwa hiyo sisi tukapata duka ndogo ambalo lilikuwa bada iko wazi nasi tukanunua mafuta hayo kwenye saa 6:30 za usiku na kupakaa mafuta kwenye saa 7:30 za usiku. Tuliendesha gari kuzunguka eneo la kuegeshea magari na kuweka mafuta kila baada ya umbali wa futi ishirini hadi thelethini hivi kwenye barabara ya lami iliyo zunguka kiwanja hicho, na kisha tukamwomba Bwana aweke Malaika wa mahubiri na wa vita kwenye eneo hilo kwa ajili ya ulinzi kwenye kila eneo ambako tumepaweka wakfu kwa mafuta hadi hapo tutakapo maliza kulizunguka Kanisa hilo na jengo hilo kubwa la maofisi.

Neno la yule ndugu yetu katika Kristo; tuliporudi nyumbani kwetu, ilikuwa inatutaka tupawekee wakfu kwa kuweka mafuta sehemu iliyo juu. Sehemu pekee iliyo kuwa juu kwa mahala hapo tulipo; ilikuwa ni kwenye chumba chetu ambayo ilikuwa iko kwenye ghorofa ya juu kabisa kwenye hoteli yetu hiyo tunayoishi. Kwa hiyo tulijipaka mafuta sisi wenyewe kwenye chumba chetu, madirisha yote, milango na kisha tukasali na kwenda kupumzika kwa usingizi wa masaa kadhaa, kwa maana ilikuwa ni lazima tuondoke saa 10 za lafajiri ile.

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.