437. Visions given to Raymond Aguilera on 18 April 1994 at 3:30 PM.

During Prayer, on the airplane, returning home from Canada, I had a vision. I saw a ball of light, and it was bright red, like something burning. Then the next image was of a Planet which looked like Saturn with rings around it, but below this Planet, in outer space, I saw something peculiar in this one area. I don't know if it was the same ball of burning light or something that was forming there.

Then the image stopped and I heard the Words: "Thomas, Thomas, Thomas."

Vision:

 

Vision:

 

437. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tareh 18 Aprili 1994, saa 9:30 mchana.

Wakati wa Sala, kwenye ndege, nikiwa ninarudi kutoka Kanada, mimi niliona maono. Mimi niliona mwanga uliokuwa wa mviringo kama mpira, na ilikuwa na wekundu wa kung’ara, kama kitu kinachoungua. Kisha maono yaliyofuata yalikuwa ni ya Sayari ambayo ilikuwa inafanana na ile ya Zohali (Satani) ikiwa na pete kuizunguka, lakini kwa sehemu ya chini ya Sayari hiyo, kwenye anga za juu, Niliona kitu ambacho si cha kawaida kwenye eneo hili. Mimi sijui kama ndiyo ule ule mpira wa mwanga uliokuwa unawaka au kama ni kitu kingine kilicho kuwa kinaanza kuundika pale.

Kisha maono yale yalisimama na mimi nikasikia: "Tomaso, Tomaso, Tomaso."

Maono:

 

Vision:

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.