|
438. Vision
given to Raymond Aguilera in the morning of the 19 April 1994. I had a vision of children in an auditorium. There were hundreds of them, but it looks like I am looking into the past, into the 1950's. The children's ages seem to be between six and eleven years old and are dressed as if they are from that time frame. They look like they are very clean cut children. That's all over.
|
438. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera asubuhi ya tarehe 19 Aprili 1994. Mimi nilikuwa na maono ya watoto katika ukumbi wa maonyesho. Walikuwepo hapo watoto mamia kwa mamia, lakini ilikuwa ni kama mimi naangalia mambo yaliyopita ya miaka ya 1950. Watoto hao walikuwa wanaonekana kama ni wa umri kati ya miaka sita hadi ya kumi na mmoja na walikuwa wamevaa kana kwamba ni wa dunia ya miaka hiyo. Walikuwa wanaonekana kana kwamba ni watoto waliojivalia kwa utanashadi mkubwa. Hayo ni yote.
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )