440. Prophecy given to Raymond Aguilera on 21 April 1994 at 9 PM. in English.

A Prophecy given during a night church service at the San Francisco Vineyard Fellowship.

Prophecy

Hear Me O people of San Francisco. Hear Me! There will be no revival in the City of San Francisco. For I have shut the door because of all the iniquity. Leave the City, for My Hand will hit the City of San Francisco without mercy for all the evilness, of the mind, of the heart. Leave the City and save yourselves. For I have closed My Eyes and I have closed My Ears, for the City of iniquity, for the City of Satan.

Hear My Words.., do as I say. For the vengeance of the Lord is upon you if you live in the City of San Francisco. So saith Jehovah, Jesus Christ, and the Holy Spirit. There will be no mercy. There will be no leniency, only the Wrath of God. Leave the City..., today! Beware of deceiving Spirits.

 

440. Unabii Raymond Aguilera tarehe 21 Aprili 1994, saa 3 usiku katika lugha ya Kiingereza.

Unabii niliopewa wakati wa sala za kanisani usiku katika Kanisa la “San Frankisco Vineyard Fellowship”.

Unabii  

Mnisikilize enyi watu wa San Francisco. Minisikilize Mimi! Hapatakuwa na mwanzo tena kwa jiji hili la San Francisco baada ya maangamizo. Kwa maana Mimi nimeufunga mlango kwa ajili ya madhambi ya jiji hilo. Tokeni ndani ya Jiji hilo, kwa maana Mkono Wangu utaenda kuupiga Jiji la hili la San Fransisko bila ya huruma kwa ajili ya madhambi yote ya mawazo, ya mioyo. Tokeni ndani ya Jiji hili na mjiokoe. Kwa maana Mimi nimefumba Macho Yangu na Masikio Yangu, kwa Jiji hili la madhambi, kwa Jiji hili la Shetani.

Yasikilizeni maneno Yangu…., fanyeni kama ninanvyosema Mimi. Kwa maana huruma ya Mungu itakuwa juu yenu kama mtatoka kwenye Jiji hili la Sana Fransisko. Hivyo ndivyo asemavyo Yehova. Yesu Kristo, na Roho Mtakatifu. Hakutakuwa na huruma. Hakutakuwa na msamaha, bali Hasira tu ya Mungu. Tokeni kwenye Jiji hilo…, leo! Jihadharini na Mapepo wadanganyifu.  

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.