444. Vision given to Raymond Aguilera on 3 May 1994.

I saw a vision of three points. The first point was in the sky and the other two points were on the ground. The first point in the sky seemed to control the two points on the ground. The two ground points were connected to the one in the sky by some sort of power. As the point in the sky moved up the two points on the ground seemed to come together. As I was watching the points on the ground, I noticed they were connected to two army tanks that were facing each other and were shooting at each other. Then the point in the sky started to move up into the sky and the tanks started shooting rapidly as they moved toward each other. This point in the sky seemed to have complete control of both tanks.

 

444. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 3 Mai 1994.

Niliona maono ya ncha tatu. Ncha ya kwanza ilikuwa iko angani na ncha zilizobaki mbili zilikuwa ardhini. Incha ile ya angani ilikuwa inaonekana kama inazitawala zile ncha mbili za ardhini. Ncha zile mbili za pale ardhi zilikuwa zimeunganishwa na ncha ile ya angani kwa nguvu ya aina fulani. Wakati ile ncha ya angani ilipoanza kusogea kwenda juu zile ncha mbili za adhini zilikuwa zinaonekana kusogeleana pamoja. Wakati nilipokuwa ninaangalia zile ncha mbili za pale ardhini, niliona zimeunganishwa na vifaru viwili vya kijeshi ambavyo vilikuwa vinaangaliana na vilikuwa vinatupiana risasi zenyewe. Kisha ile ncha iliyoko angani ikaanza kusogea kwenda juu na vile vifaru viwili vilianza kutupiana risasi kwa kasi kubwa huku zikiwa zinasogeleana. Ncha hiyo iliyoko angani ilikuwa inaonekana ilikuwa inaonekana kama ilikuwa ikizimudu na kuzitawala vifaru vile viwili.

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.