445. Prophecy and Vision given to Raymond Aguilera on 9 May 1994 at 9:40 AM.

A vision of statues all over these country hills.

I asked the Lord, "Are those statues of God?"

The Lord said, "No!, those are the statues of idolatries."

Then the vision stopped. They were white statues placed all over this countryside. Almost like...., lots of garbage.

So I asked the Lord again, "Where is this place?"

The Lord said, "In America, in the United States, all over America."

 

445. Unabii na Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 9 Mai 1994, saa 3:40 asubuhi.

Maono ya masanamu yaliyokuwa kila mahali kwenye maeneo yote na milima yote katika vijijini vya nchi fulani.

Mimi nilimwuliza Bwana, "Je, sanamu hizo ni za Mungu?"

Bwana akasema, "Hapana! Sanamu hizo ni sanamu za waabudu miungu mingine.”

Kisha maono yale yakasimama. Zilikuwa ni sanamu zilizokuwa na rangi nyeupe ambazo zimewekwa kila mahali katika nchi ile. Zilikuwa ni kama…… takataka nyingi sana.

Kwa hiyo mimi nikamwuliza Bwana tena, “Mahala hapo ni wapi?”

Bwana akasema, "Ni Amerika, katika nchi ya Amerika, kila mahali Amerika."

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.