448. Vision given to Raymond Aguilera on 10 May 1994 at 8:45 PM.

I had a vision of a white horse galloping with a dark eagle of some sort. It was picking at the horse's ear or speaking into it, I don't know which. The eagle was flying as the horse was running.

 

448. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 10 Mai 1994, saa 2:45 usiku.

Niliona maono ya farasi mweupe akiwa anakimbia na tai mweusi wa aina fulani akifuatana naye. Tai huyo alikuwa akidonoa au akizungumza kwenye sikio la farasi huyo, kweli sielewi ipi ni ipi. Tai alikuwa anaruka wakati farasi sambamba na farasi huyo alipokuwa anakimbia kwenye usawa wa sikio lake.

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.