449. Prophecy and Vision given to Raymond Aguilera on 11 May 1994 at 7 AM.

Vision of the rings around some planet and on the rings I saw a white horse pulling a chariot. I believe there was someone in the chariot as it circled the rings around the planet.

 

449. Unabii na Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 11 Mai 1994, saa 1 asubuhi.

Maono ya pete kuzunguka sayari fulani na juu ya pete hiyo niliona farasi aliyekuwa anakokota mkokoteni. Naamini kulikuwa na mtu ndani ya mkokoteni huo ambao ulikuwa unauzunguka dunia juu ya pete hiyo.

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.