452. Vision given to Raymond Aguilera on 27 May 1994 at 9:25 AM.

During prayer I had a vision of the inside of someone's throat. I could see a little center dangling piece in the center of the throat. As I looked a white lump appeared on the right side of the throat as I face it. It was a round ball to one side. I don't know what it means. That's all. (over)

452. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 27 Mai 1994, saa 3:25 asubuhi.

Wakati wa sala niliona maono ya ndani ya koromeo la mtu fulani. Nilikuwa naweza kuona kitu kama uvimbe katikati ya koromeo hilo likiwa linaning’inia. Nilivyokuwa naiangalia uvimbe wa aina fulani ukajitokeza kwenye upande wa kulia wa kutoka katikati ya koromeohilo kwa kupande ule niliokuwa ninauangalia. Ilikuwa ni uvimbe wenye sura ya mviringo mdogo ukiwa ndani mwa koromeo hilo. Mimi sielewi inamaanisha nini. Hayo ni yote. (Mwisho).

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.