462. Prophecy and given to Raymond Aguilera on 27 May 1994 at 11:19 AM.

I know My son. I know My son. I know everything, I know your tears. I see everything with My Eyes arm yourself for the day has arrived, the day of the stones. Yes, it has arrived.

462. Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 27 Mai 1994, saa 5:19 asubuhi.

Mimi ninajua mwanangu. Mimi ninajua mwanangu. Mimi ninajua kila kitu, Mimi ninajua machozi yako. Mimi ninaona kila kitu kwa Macho Yangu, ujizatiti kwa maana siku imewadia, siku yamawe. Ndiyo, imewadia.

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.