|
464.
Prophecy and Vision given to Raymond Aguilera on 6 June 1994 at 7:03 AM. A vision of a female from the right side in a area around the armpit as I looked I saw a lump. Then the Lord said "Lymph node" Then a vision of a eggnog colored car. Then the Lord said, "Theresa, Theresa." |
464. Unabii
na Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 6 Juni 1994, saa 1:03 asubuhi. Maono ya mwanamke ambaye alikuwa naonekana kutoka upande wa kulia maeneo ya kwenye kwapa lake, nilivyokuwa ninamwangalia nikaona uvimbe. Kisha Bwana akasema "Tezi" Kisha nikaona maono ya ya gari lililokuwa na rangi ya mayai. Kisha Bwana akasema, "Teresia, Teresia." |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )