467. Vision given to Raymond Aguilera on 7 June 1994 at 2:15 PM.

I had a vision of a white lit candle in a crack of a rock and the terrain was marred and cut in pieces. The candle was wedged in between the broken rocks.

At this very moment I am seeing the white candle levitating in the air over an enormous waterfall. The candle with its flame is hovering over the cliff of this waterfall. This waterfall reminds me of Niagara Falls with its rushing water.


 

 

467. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 7 Juni 1994, saa 8:15 mchana.

Mimi niliona maono ya mshumaa mweupe uliokuwa unawaka ndani ya pango au ufa wa mwamba na ardhi ya eneo hilo likiwa limechakazwa na kuchanwa chanwa vipade vipande. Mshumaa huo ulikuwa umegandishwa katikati ya ufa au mpasuko wa miamba hiyo.

Sasa hivi ninaona mshumaa huo mweupe ukiwa unakuwa juu ya maporomoko makubwa sana ya maji. Mshumaa huo na moto wake ukiwa unazunguka juu ya maporomoko hayo ya maji. Maporomoko hayo ya maji yananikumbusha yale maporomoko ya Niagara na maji yake yaliyokuwa yakiporomoka kwenye maporomoko hayo.


 

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.