|
470. Vision
Now, I am seeing a tall vertical pole with some ribbons tied to the top of it. There seems to be people walking around the pole counter clockwise holding the ribbon.
|
470. Maono
Sasa, naona mlingoti mrefu uliokuwa na vibendera vilivyo fungwa kwa kamba. Kulikuwa kunaonekana kama kuna watu waliokuwa wakilizunguka boriti hilo huku wameshika kamba hizo zenye vibendera na kuzunguka kutoka kushoto kwenda kulia kama ilivyo mikono ya saa inavyofanya.
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )