|
471.
Vision:
I see a planet with rings around it, but somehow the planet stays stationary and the rings lift up and off the planet. The rings just left (up and away) into outer space.
|
471. Maono:
Mimi naona Sayari iliyokuwa na pete ambazo zilikuwa zinaizunguka Sayari hiyo, lakini ilikuwa inaonekana kama sayari hiyo ilikuwa imetulia na haizunguki na pete zake zile mara zilinyanyuka na kujivua juu ya sayari hiyo na kutoweka. Pete hizo zilitoweka tu (zilipaa juu na kupotea) kuelekea kwenye anga za juu.
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )