473. Visions:

A vision of a pane of frosted glass. I cannot see through it, but there is an image on the other side.

I see a flat, thin strip of metal. It's on its edge with a hole on one end. In this hole there is a wire hook curling over.

 

 

473. Maono:

Maono ya kipande kikubwa cha kioo cha kufunikia dirisha iliyokuwa imewekewa dawa ya kuzuia mwanga mwingi usipenye. Mimi siwezi kuona kwa kupitia ndani yake, lakini kulikwa na kivuli kwa upande wa pili wa kioo hicho ambacho nakiona.

Mimi naona kipande nyembamba cha chuma. Ilikuwa imesimamishwa kwa upaba ikiwa na tobo kwenye mwisho wake mmojawapo. Kwenye shimo hilo kulikuwa na waya mfano wa ndoana iliyokuwa imeingizwa ndani ya shimo hilo.

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.