|
478. Vision
A vision of two hands with a metal cup in each. They look like stainless steel cups. These hands are pouring a liquid between the two cups. The liquid looks powder blue, and then the right cup changes into an ice cream cone similar to the one I saw in Vision # 2 on 18 July 1990.
|
478. Maono
Maono ya mikono miwili iliyokuwa imeshikilia kikombe cha chuma kila mmoja. Vikombe hivyo vilikuwa vinaonekana kama ni vikombe vya chuma ya aina ile isiyoshika kutu (stainless steel). Mikono hiyo miwili ilikuwa inamwaga kitu kama maji maji kutoka kikombe hiki hadi kingine. Aina ya hiyo maji maji ilikuwa inaonekana kuwa ya rangi ya kibuluu, na kisha kikombe cha kwenye mkono wa kulia kikaanza kubadilika kuwa kama koni ya aiskrimu kama yale niliyo yaona kwenye maono ya namba # 2 ya tarehe 18 Julai 1990.
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )