|
480.
Vision:
I see a symbol of a wire looking Christian fish. Something grabbed it by its tail and stretched it. The fish gets thinner, but it does not break and it stays together.
|
480. MAono:
Mimi naona alama ile ya samaki wa kikristo aliyetengenezwa kwa waya. Kisha kukawa na kitu kilicho mkamata kwenye mkia wake na kuanza kumvuta kama mpira. Yule samaki akawa mwembamba sana lakini haikukatika katika vipande vipande badala yalke akaendelea kukabaki pamoja kama samaki mmoja.
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )