481. Vision:

I keep seeing the same ice cream cone I saw in Vision # 2 on 18 July 1990. I also sense a strong Presence of the Lord in my house. The birds are singing outside of my house and I am having all kinds of visions. I am also overwhelmed with joy and happiness, and I am curious as to what the Lord will show me next.

 

481. Maono:

Nilikuwa naendelea kuona mara kwa mara ile aina ya aisikrimu ambayo niliwahi kuiona katika Maono namba 2 ya tarehe 18 Julai 1990. Pia nilikuwa ninahisi uwepo mkubwa wa Bwana ndani ya nyumba yangu. Ndege walikuwa wakiimba nje ya nyumba yangu nami nilikuwa na patwa na kila aina ya maono. Mimi pia nimezidiwa na furaha na shauku kubwa na mimi nilikuwa nimejawa na dukuduku kujua ni nini ambacho Bwana atanionyeshea baada ya hapo.

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.