482. Vision:

I see a nuclear mushroom cloud. I sense the uneasiness of the devil. I sense he is trying to interfere with the visions I am receiving. I cannot explain how or why, it's just a very strong sensation.


482. Maono:

Mimi ninaona wingu lenye mfano wa uyoga la mlipuko wa kinuklia. Mimi nahisi wasiwasi wa shetani. Ninahisi anajaribu kuingilia na kuvuruga maono hayo mimi ninayopokea. Mimi ninashindwa kueleza ni kwa njia gani au kwa namna gani, bali ni hisia kali tu niliyopata.


 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.