487. Vision:

I see a cloud with six things coming down. They are bright like light or metal and are connected to a square box. These connectors are like electrical connectors. It is unusual that the one end has six electronic connectors and the other end is a wide and narrow cloud.


487. Maono:

Mimi naona wingu lililokuwa na vitu au kamba sita zilizokuwa zimeanzia kwake na kutelemka kuja chini. Vitu hivyo vilikuwa vinang’ara kama mwanga au chuma na vilikuwa vimeunganishwa kwenye kitu kama boxi. Viungio hivyo vilikuwa vinaonekana kama viungio vya nyaya za umeme. Ni kitu cha ajabu, kwani kwa upande mmoja kulikuwa na viungio sita vya umeme na kwenye mwisho ule mwingine kulikuwa na wingu nyembamba na pana.


 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.