491. Vision given to Raymond Aguilera on 18 June 1994 7:30 PM

During prayer I had a vision of a leaf. Then of a branch being pulled at each end until it snapped and broke. I could see the fibers of each end separating as the branch was pulled apart.

The next image was of a large animal eating off the tree. I could see it chewing on the branches trying to eat them. I could see its mouth going up and down, but nothing was going down its throat. It reminded me of a baby chewing on a teething ring. He gnawed on this tree, but it wasn't eating anything though he was trying with his sharp teeth. Then the image stopped This creature had a long neck with a big mouth with lots of teeth . I guess

 

491. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 18 Juni 1994, saa 1:30 jioni.

Wakati wa maombi niliona maono ya jani. Kisha ya tawi likiwa linavutwa kwenye miisho yake miwili hadi ilipovunjika na kukatika. Nilikuwa ninaona nyuzi ya miisho yote miwili ikiachana wakati tawi lilipokuwa linavutwa.

Maono yaliyofuata yalikuwa ni ya mnyama mkubwa akiwa anakula mti. Nilikuwa naona akitafuna matawi akijaribu kula. Nilikuwa naona mdomo wake ukienda juu na chini, lakini hapakuwa na lolote lililokuwa linateremka kwenye koo lake. Ilikuwa inanikumbusha mtoto mdogo akijaribu kutafuna mwanya wake. Alikuwa anajaribu kuung’ata mti huo lakini alikuwa hatafuni mti huo ila tu alikuwa anajaribu kwa meno yake hayo ambayo yemechongoka na makali. Kisha maono yale yalisimama. Kiumbe huyo alikuwa na shingo ndefu na mdomo mkubwa akiwa na meno mengi sana. Nadhani.

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.