|
493.
Prophecy and Vision given to Raymond Aguilera on 24 June 1994 at 4:50 AM. I had a vision of a ship.
Prophecy: Vision:
Vision:
Vision:
|
493. Unabii
na Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 24 Juni 1994, saa 10:50 alfajiri. Mimi niliona maono ya meli
Unabii: Maono:
Maono:
Maono: Baadaye, niliona maono ya kitu kama wiya ulio kunjwa kunjwa ukiwa na mipira ndani yake. Mipira hiyo ilikuwa mikubwa kama kichwa cha mtu. Ilikuwa inaonekana kana kwamba mpira ule wa kwanza ni kama unatafunwa au unaliwa au kupigwa busi na mtu fulani kwa sababu fulani. Mipira hiyo yote iliwekwa umbali fulani kutoka kwa mwenziwe na ilikuwa na umbali ulio sawaswa.
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )