496. Vision given to Raymond Aguilera on 29 June 1994 at 10:15 PM.

A vision of a metal object with a rough surface almost like the exterior surface of a hand grenade, but it is a different shape and larger. Some sort of apparatus is deep beneath the water on the ocean floor. I don't know if it is a bomb or something else, as it looks very heavy.

 

496. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 29 Juni 1994, saa 4:15 usiku.

Mimi naona maono ya kitu chenye muundo wa chuma kilichokuwa na migono iliyokuwa na vinundu vilivyokuwa vinafanana sana na mgongo wa bomu la kutupwa kwa mkono au grunedi, lakini kilikuwa na muundo tofauti, na kilikuwa ni kikubwa. Hii ilikuwa ni aina fulani ya chombo kilichokuwa chini sana ya usawa wa maji ya bahari labda kipo kwenye sakafu ya bahari. Mimi sielewi kama ni bomu au kama ni kitu kingine, kwa kuwa kinaonekana kuwa kizito sana.

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.